Dk. John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale. Pichani kulia ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mama Salma Kikwete akishuhudia. Mgombea Uraisi wa chama cha Mapinduzi Dk John Pombe Magufuli akipokelewa kwa shangwe na …
Kikwete Awataka Watanzania Kuboresha Kilimo Nanenane Lindi
Na Eleuteri Mangi, Lindi WATANZANIA wameaswa kuboresha sekta ya kilimo ili kuleta mapinduzi ya kijani katika sekta hiyo kwa kuzingatia na kutekeleza sera ya kilimo kwa manufaa ya wananchi wote na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete mwishoni mwa wiki alipokuwa akiwaaga wakulima na wafugaji wakati wa kufunga Sherehe …
Vijana Lindi Watakiwa Kutobaguana
Na Anna Nkinda – Lindi VIJANA mkoani Lindi wametakiwa kuwa wazalendo na kutobaguana bali wasambaze upendo na kujiona wote ni sawa kwa kufanya hivyo wataondoa chuki na kudumisha amani, mshikamano na umoja katika jamii inayowazunguka. Mwito huo umetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua klabu zalendo zilizopo katika Manispaa ya Lindi. Mama Kikwete ambaye ni Mke wa …
Mfuko wa Bima ya Afya Taifa Wasaidia Zahanati ya Kijiji Lindi
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya zahanati ya kijiji hicho wakati wa mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya Afya ya Jamii CHF inayotolewa na …
Lindi Watakiwa Kutumia Rasilimali Kujiletea Maendeleo
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo. Rai hiyo imetolewa jana Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mitwero Stendi Kata ya …