Ligi Kuu Zanzibar: KMKM na Mafunzo Yaenda Suluhu

 Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya KMKM akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare ya bao 1–1.  Beki wa Timu ya Mafunzo akiondoa mpira golini kwao,   Mshambuliajhi wa Timu ya KMKM na Beki wa Timu ya Mafunzo wakiwania mpira. …