Vilabu Ligi Kuu Vyatakiwa Kuomba Ushiriki Msimu Mpya

MEI 24, 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume. Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo: CLUB LICENCING (Leseni za vilabu) Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu …