Ebola Ilivyoteketeza Familia Yangu – Alexander Kollie

MFANYAKAZI wa Shirika la madaktari la Medecins Sans Frontieres (MSF) nchini Liberia amesema hawezi kuusahau ugonjwa wa Ebola maishani kwake kwa kile kuteketeza familia yake. Kwa sasa mfanyakazi huyo tayari ametenganishwa na familia yake kutokana na kazi yake, habari hizo zilikuwa ni vigumu kuvumilia kwa namna zilivyomuumiza. Lakini aliokolewa katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kusikia mtoto wake wa kiume …