Mbowe Apokea Kadi za CCM za Lembeli na Bulaya Mwanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo leo jijini Mwanza kimefanya mkutano mkubwa kupokea kadi za wabunge wawili waliohama toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na chama hicho. Waliopokelewa rasmi na kutambulishwa katika mkutano huo ulioshirikisha viongozi wa juu wa Chadema ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa CCM Kahama, James Lembeli na Mbunge wa CCM Viti Maalumu, Ester Bulaya ambao wote …