VETA-JKT Wawaasa Vijana Juu ya Dawa za Kulevya

 Paredi la ukakamavu na uzalendo likifanyika.    Gwaride likitoa heshima mbele ya mgeni rasmi.    Ndugu, wazazi na jamaa wa wanafunzi hao wakifuatilia kwa karibu shughuli hiyo.  wanafunzi wa shule hiyo wakifuatilia gwaride hilo.    Gwaride likiendelea.  wazazi wakiwa kwenye hafla hiyo.  Wimbo maalumu ukiimbwa.  Kiongozi wa gwaride hilo, Pelegia Nyunga akikabidhiwa zawadi na mgeni rasmi.  Francis Christopher akipewa zawadi. …

Vijana Tanzania Wahimizwa Kufanya Kazi kwa KUjitolea

  VIJANA nchini Tanzania wameshauriwa kuwa tayari kufanya kazi kwa kujitolea ili kujiongezea ujuzi, uwezo, maarifa na kuleta mabadiliko katika jamii zao,hayo yalielezwa na Meneja wa Maendeleo ya Vijana wa shirika la Raleigh Tanzania, Genos Martin wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii.   Martin alisema kuwa ni vyema kwa vijana kujiunga na mashirika ya kitaifa na ya kimataifa ya kujitolea …

Zaidi ya Milioni 414.9 Zatolewa Kuwasaidia Vijana

Na Daud Manongi MFUKO wa Maendeleo ya Vijana (YDF) umeendelea kuwa miongoni mwa fursa zinazowasaidia vijana katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni mwao. Haya yamebainishwa na Msemaji wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Concilia Niyibitanga wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam ambapo alisema kupitia mfuko huo vijana wanapata mikopo ya riba …