IPTL yatoa milioni 10 kusaidia harakati za Imetosha

Na Mwandishi Wetu KAMPENI maalumu za kupinga mauaji ya watu wenye u-albino nchini inayojulikana kama ‘Imetosha’ iliyoanzishwa na balozi wa kujitolea, Henry Mdimu, chini ya Imetosha Foundation zimezidi kushika asi baada ya makampuni ya IPTL na PAP kutoa shs milioni 10 kusaidia kampeni hizo. Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege jana …