Kura ya Hapana Bungeni Yamfukuzisha Kazi Mwanasheria Mkuu Zanzibar

HATUA hiyo ya Dk Shein imekuja ikiwa ni wiki moja tangu mwanasheria huyo kukataa ibara 22 za Katiba inayopendekezwa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma. Taarifa iliyotolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Dk Abdulhamid Yahya Mzee imesema Rais Shein amempandisha cheo aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, Said Hassan Said kuwa AG. “Amefanya mabadiliko hayo kwa mamlaka aliyopewa na …

Wabunge Waanza Kuipigia Kura Katiba Inayopendekezwa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameanza kupiga kura kuipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kuwasilishwa kwao na Kamati ya Uandishi ya Wajumbe hao. Zoezi la kupiga kura hizo limeanza rasmi majira ya saa tisa za jioni ambapo mbunge mmoja baada ya mwingine wamekuwa wakiitwa kwa majina na mbunge huyo kupiga kura yake kwa …