Raia wa Burundi Wapiga Kura Kumchagua Rais Wao

UCHAGUZI wa Rais umeanza Burundi baada ya kumalizika kwa ghasia na maandamano ya miezi kadhaa iliyopita, hatimaye raia wa Burundi wamepiga kura ili kumchagua rais wao. Hata hivyo watu wawili wameuwawa usiku wa kuamkia leo katika Mji Mkuu wa Bujumbura. Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema kuwa, milio ya risasi na gruneti zimesikika usiku kucha katika Mji Mkuu wa Burundi- …

Watanzania Waishio Nje ya Nchi Kutopiga Kura – Pinda

*Waziri Mkuu aomba Watanzania waiombee nchi yao   WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Watanzania waishio ughaibuni hawataweza kupiga kura wakiwa nje ya nchi kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu, kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo Serikali inabidi iyatekeleze kabla ya zoezi hilo kufanyika.   Ametoa kauli hiyo Aprili 11, 2015 wakati akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi …