TGNP Kufanya Mjadala wa Wazi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili

TGNP Mtandao ni asasi ya kiraia isiyokuwa na mrengo wa kidini iliyoanzishwa na kusajiliwa zaidi ya miaka 20 iliyopita ikijihusisha na mapambano ya kuleta usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake na makundi mengine yalioko pembezoni kwa njia ya ushawishi na utetezi, machapisho na mafunzo kwa njia mbalimbali kupinga ukatili wa kijinsia na kuleta mabadiliko ya kijamii kama sehemu ya haki …