Mama Kikwete Awataka Wanalindi Kujitokeza Kupiga Kura

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wanachama wa chama hicho pamoja na wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii. Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dk. Jakaya Mrisho …

Watanzania Kupiga Kura ya Maoni Katiba Mpya Aprili 2015

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa endapo mipango yote itakwenda kama inavyoandaliwa, Watanzania watapata nafasi ya kuipigia kura ya maoni Katiba Inayopendekezwa, ili kukamilisha mchakato wa Tanzania kusaka Katiba Mpya. Rais Kikwete amesema hayo Oktoba 22, 2014, wakati alipokutana na kuzungumza na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika Jamhuri ya Watu wa China. Mkutano huo na …