Vua Kubwa Zenye Madhara Kuendelea Kunyesha Nchini – TMA

    Wana habari wakiwa kwenye mkutano huo. SIKU moja baada ya mvua kubwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini na kuleta madhara Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa za vipindi. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk. Agness Kijazi Dar es Salaam jana wakati akiwasilisha tathmini ya mvua …