Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Chawataka Viongozi Kupitia Kozi ya Maadili

 Mkuuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  Profesa, Shadrack Mwakalila.  Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.   CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimeiomba Serikali kurudisha utaratibu wa viongozi mbalimbali wa Serikali kupata mafunzo ya maadili na uongozi katika chuo hicho.   Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila wakati akizungumza na waandishi wa habari …