Nyerere Wangu Mimi! Na zitto Kabwe MWAKA 1984 nilianza darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kigoma, katika Mji wa Kigoma. Nakumbuka kupelekwa Shule siku ya kwanza na mama yangu mzazi Bi Shida Salum (Mungu amrehemu) nikiwa sina viatu yaani pekupeku wala begi la mkononi, nilikuwa nimebeba mfuko wa nailoni. Nakumbuka usiku wa kuamkia siku ya kwanza kwenda shule, sikulala …