Na Anna Nkinda – Maelezo ILI kuhakikisha vifo vya wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa tiba. Hayo yamesemwa na Mke wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete Mama Salma Kikwete wakati akiongea na viongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) iliyopo Keko Jijini Dar es Salaam. Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa …