Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Je unafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatia masuala yafuatayo, ambayo yatakusaidia kutambua kama upo tayari kuoa au kama mazingira ya kuoa ni salama kwako. Michele K, mtaalamu wa masuala ya mapenzi na mahusiano, ambaye ameandika na kuuza maandiko (Articles) zaidi ya 550, anasema …
Maalum kwa Kina Dada:Utajua Vipi Kama Mwanaume Hana Mpango wa Muda Mrefu na Wewe?
Hii ni taarifa maalum kwa kina dada. Je utafahamu vipi kama jamaa hana mpango wa kukufanya mpenzi wake au pengine hata kufunga ndoa na wewe siku moja? Utajua vipi kama jamaa anataka ngono tu, na anakutumia kama kifaa cha kutimiza lengo lake hilo? Mtaalam wa mapenzi na mahusiano, Ethel DeGroodit, wa Marekani anaweka wazi viashirio vitano, ambavyo ni lazima …
Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana. Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na …