Kamati ya Muda Bloggers Tanzania Yakutana Kujadili Rasimu

    Katibu Msaidizi wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania , Shamim Mwasha (kushoto),akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati wa mapitio ya rasimu hiyo. Kulia ni Mjumbe wa Kamati,  Henry Mdimu.  Wajumbe wa kamati wakipitia rasimu hiyo. Kulia ni William Malecela na Mariam Ndabaganga.  Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), …