Kanisa la Sinza Christian Center Latupiwa Virago Njea

  DENI la zaidi ya milioni 100 linalodaiwa Kanisa la Sinza Christian Center  la jijini Dar es Salaam limesababisha kutupiwa nje vyombo vyake na dalali aliyepewa tenda hiyo na mahakama na mmiliki jengo hilo, Bw. Prosper Rwendera. Akizungumzia tukio hilo mke wa mmiliki  wa jengo hilo, Bi. Patricia Prosper alisema; “huyu aliyepanga hapa hakufuata utaratibu wowote na ndiyo maana tukapewa jengo letu.”  Alipotafutwa msemaji …

Mchungaji Josephat Gwajima Atakiwa Kufunga Kanisa…!

KANISA lisilo rasmi la Mchungaji Josephat Gwajima lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe, wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam limeamuriwa kufungwa na kuondoka mara moja eneo hilo. Kwa mujibu wa barua ya wamiliki wa eneo hilo, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) imemtaka Mchungaji Gwajima kuondoka eneo hilo mara moja ili kupisha shughuli nyingine za wamiliki wa eneo hilo. Taarifa …