TBS Kuajiri Watumishi 200 Kuimarisha Utendaji

Frank Mvungi-Maelezo SHIRIKA la Viwango Nchini Tanzania (TBS) linatarajia kuajiri jumla ya watumishi 200 katika harakati za kuimarisha utendaji wa shirika hilo. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa udhibiti ubora wa shirika hilo Bi. Mary Meela wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Akifafanua Meela amesema watumishi watakaoajiriwa watasaidia kuimarisha utendaji kazi wa shirika hilo …