Waziri Chiza Katika Kongamano la Biashara Visiwani Comoro

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji, Mhandisi Christopher Chiza (Mb) ahudhuria Kongamano Kubwa la Biashara kati ya Comoro na Tanzania, litakalofanyika tarehe 23 Aprili, 2015 Visiwani Comoro. Lengo kuu la kongamano hilo ni “kuongeza kiwango cha biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Comoro kwa kutambua fursa zilizopo kati ya nchi hizi mbili na kurasimisha biashara …