Chuo cha Mwalimu Nyerere Chafanya Kongamano la Uadilifu na Utawala Bora

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dk.Lenard Akwilapo akikabidhiwa picha na Mwakilishi Makazi wa Shirika la KAS, Daniel El-Noshokaty ya waasisi wa ushirikiano kati ya Tanzania na Shirika lisilo la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) la nchini Ujerumani, Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto pichani) na Konrad Adenauer (kulia), wakati wa Kongamano la kitaifa na kimataifa lililokuwa na …

Waziri Kombani Aipongeza Seed Trust Kuwapigania Walemavu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani ameipongeza taasisi ya Seed Trust kwa jitihada zake za kupiga vita vitendo vya ukatili kwa wanawake na watu wenyeulemavu. Bi. Kombani ametoa pongezi hizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), leo jijini Morogoro alipokuwa akifungua kongamano la kujadili namna ya kukabiliana na vitendo …