Global Peace Foundation Yaandaa Mkutano Kudumisha Amani
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu kongamano kubwa la vijana litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa kongamano hilo, …
Repoa Yataka Wafanyabiashara Ndogondogo Wanawake Wawezeshwe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for Growth (EfG), Jane Magigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo. Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar …
Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha). Na Mwandishi Wetu, Arusha SERIKALI ya Tanzania imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania. Azimio hilo ambalo limetoka …
Kongamano la 31 la Kisayansi Bagamoyo Laendelea
Maximilian Mapunda kutoka shirika la Afya Duniani (WHO-Country Officer) akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo. Na Andrew Chale, Bagamoyo Pichani ni baadhi ya picha za matukio ya siku ya pili, jana Novemba 25 kwenye kongamano la Kisayansi la 31, ’31th Annual Scientific Conference and Annual General Meeting’.. lililoandaliwa na Tanzania Public Health Association (TPHA). Mkutano huo unafanyika mjini hapa Bagamoyo katika …