Mke Ampikia Mumewe Kondom na Mkaa Kama Chakula

MWANAMKE mmoja mwenye watoto watatu katika Wilaya ya Kole nchini Uganda ameamua kumpikia mumewe kondom kama chakula kufuatia mume huyo kuwa na ugomvi usiokwisha kati yao. Mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa eneo la Arao aliamua kununua paketi tatu za kondomu aina ya ‘Trust’ kutoka duka moja la jirani kabla ya kuzipika na kumuandalia mumewe kama chakula baada ya kurudi …