Chef Issa Atwaa Zawadi Kombe la Dunia la Mapishi 2014

EXECUTIVE Chef Issa Kipande anayefahamika kama ‘Chef Issa’ (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye kushika nafasi ya kwanza kwenye kipengele cha timu za kanda kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la Mapishi 2014 ‘Villeroy & Boch Culinary World Cup 2014’ yaliyofanyika nchini Luxemborg. Katika mashindano hayo ushindi wa jumla umechukuliwa na …