Startimes Kuonesha Michuano Kombe la Dunia Chini ya Miaka 20

Na Dotto Mwaibale WAPENZI  wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama Michuano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee. Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe  20 mwezi Juni  mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali …