Rais Kikwete Akirejesha Kiwanda cha Chai kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya  Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili ambapo amefanya mkutano wa hadhara  katika kata ya Mponde na kuwataarifu wananchi na  wakulima wa Chai kuhusu maagizo ya Rais Jakaya Kikwete juu ya kukirejesha  kiwanda cha Chai cha Mponde …