NEMC Yakifunga Kiwanda cha 21st Century

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIWANDA cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda Mkoani Morogoro kimefungiwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kutokana na kudaiwa kutiririsha maji taka ambayo yamekuwa yakichafua mazingira. Taarifa ya NEMC imekitaka kiwanda hicho kusimamisha shughuli zote za uzalishaji kuanzia Februari 20, 2015. Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji …