Vituo 33 vya Kuwawezesha Vijana Kiuchumi Vyafunguliwa

SHIRIKALISILO la Kiserikali linalojihusisha na changamoto zitokanazo na ongezeko la idadi ya watu, DSW limefungua jumla ya vituo 33 kote nchini kwa ajili ya kuwaelimisha vijana kuhusu masuala ya afya na uzazi, kujitambua na kujikwamua kiuchumi. Akizungumza katika Maonesho ya Wiki ya Vijana yanayoendelea mjini Tabora, Meneja Mkazi wa Miradi washirika la DSW nchini Tanzania, Avit Buchwa alisema vituo hivyo …