Majambazi Wavamia Kituo cha Polisi Stakishari, Wapora Silaha

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamekivamia kituo cha Polisi Stakishari kilichopo eneo la Ukonga jijini Dar es Salaam majira ya saa tatu usiku na kuuwa askari pamoja na kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi inasemekana watu hao wamevunja chumba cha kuhifadhia silaha na kuiba silaha kadhaa nyingi aina ya SMG zilizokuwa zimehifadhiwa kituoni …