Pinda Ataka Kila Kata Iwe na Kituo cha Afya

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka viongozi wa mkoa wa Tabora wajipange vizuri na kuhakikisha kuwa wanajenga vituo vya afya katika kila kata za wilaya ya Urambo kwa sababu bado iko nyuma.   “Hatua hii itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa kwenye hospitali ya wilaya ya Urambo kwa sababu yenyewe imekuwa ndiyo kimbilio la kila mgonjwa kwa sasa,” amesema.   Ametoa …

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe Kufanya Kazi Saa 24

Na Joachim Mushi, Tembela, Mbeya WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito. Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji …