Mapinduzi ya Kitekinolojia Katika Sekta ya Afya

KATIKA muongo uliopita sekta ya afya imeshuhudia mabadiliko fulani ya ajabu katika maendeleo ya kiteknolojia na uvumbuzi ambao umeleta mchango mkubwa katika utoaji wa ushauri na matibabu kwa wagonjwa. Mapinduzi hayo yamesaidia kuboresha utoaji huduma za afya na matokeo mazuri kwa wagonjwa. Maendeleo ya kiteknolojia yamepindua sekta ya huduma za afya kwa njia nyingi na kuleta njia za kisasa na …