Mgahawa wa Kitanzania Watajwa Kuwa Bora Nchini Sweden..!

Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant – Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote kwa bara la ulaya. Kusoma taarifa hiyo bofya link ya Fokus magazine http://en.calameo.com/read/0028316377167713a84d5 Habari ipo ukurasa wa mwisho Karibu na Like Facebook page ya Tanzanian restaurant …

Mgahawa wa Chakula cha Kitanzania Sweden Wazinduliwa

Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of …