MWENDESHA bodaboda John Choma miaka (29) mkazi wa Majengo mapya Halmashauri ya Mji wa Mpanda mkoani Katavi amenusulika kifo baada ya kuchomwa kisu tumboni na mtu aliyetaka kumpora pikipiki, hali yake ni mbaya hivyo amepelekwa kwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza kwa matibabu zaidi. Kamanda wa Polisi Mkoania Katavi Dhahiri Kidavashari ameeleza kuwa tukio hilo limetokea Disemba …