Zantel Wajenga Kisima cha Maji Kituo cha Watoto Wetu Tanzania

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho. Mmoja wa vijana wa …