Ofisa TAKUKURU ‘Aangushiwa’ Kipigo Chrismas…!

WATU ambao bado hawajajulikana wanadaiwa kumshushia kipigo kikali Ofisa mmoja wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Chunya na kumjeruhi vibaya hasa sehemu za usoni. Kwa mujibu wa chanzo chetu ofisa huyo (pichani) anadaiwa kuvamiwa na watu hao maeneo ya Sai Mbeya siku ya Siku Kuu ya Chrismas na kupigwa vibaya kabla ya kutelekezwa. Chanzo hicho …