Mama Kikwete Ashauri Kinyesi cha Binadamu Kitumike…!

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ameutaka uongozi wa Tanzania Domestic Biogas Programme (CAMARTEC) kuangalia uwezekano wa kutumia kinyesi cha binadamu kuzalisha Biogesi katika maeneo yasiyo na mifugo ya kutosha kwa kuwa utekelezaji wa program hiyo unaangalia wingi wa mifugo hususani ng’ombe na upatikanaji wa maji. Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya …