Mbunge Awataka Wananchi Kuacha Kilimo na Kufuga Nyuki

Na Yohane Gervas, Rombo WANANCHI wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kupanda miti na kujishugulisha na ufugaji wa nyuki na kuacha kulalamikia wanyama pori aina ya nyani na temba wanaoharibu mazao ya mahindi. Hayo yalisema jana na mbunge wa jimbo hilo Joseph Selasini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ushiri wilayani humo, ambapo alisema ni vyema wananchi wakajishugulisha na …

JK Aleta Neema kwa Wakulima wa Mpunga na Matunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Jumatatu, Julai 28, 2014, amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Atomiki na Nishati (IAEA) Yakuya Amano. Katika mazungumzo yao Ikulu, Dar Es Salaam, viongozi hao wawili wamebadilisha mawazo ya jinsi IAEA linavyoweza kuisaidia Tanzania kuongeza uzalishaji wa mbegu mpya ya mpunga ambayo utafiti wake ulifanyika …