Megatrade Investment Waisaidia Kilimanjaro FC

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini A rusha, kanda ya Kaskazini, Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil, 1.5 kwa Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro(KRFA) Gudluck Mushi kwa ajili ya kuisadia timu ya Kilimanjaro fc inayoshiriki ligi ya mabingwa wa mikoaikiwa kituo cha Lindi.   Menejamauzo wa kanda ya Kaskazini wa kampuni ya Megatrade, Edmund Rutaraka …