Hatima ya Bunge la Katiba Mikononi mwa Kikwete
HATIMA ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake. Hiyo ni kutokana na muda uliopangwa kwenye ratiba ya bunge hilo kuzua utata wa kisheria na kuwapo uwezekano wa mwingiliano na Bunge la Jamhuri ya Muungano na Baraza la …
Kikwete Ashiriki Kujadili Hatari na Athari za Ugaidi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 2, 2014, ameungana na viongozi wengine wa Afrika na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) kujadili hatari na athari za ugaidi katika Bara la Afrika na namna ya kukabiliana nao. Katika Mkutano huo kwenye …
Kikwete Amvalisha Chiligati ‘Kiatu’ cha Makinda…!
“NIMSHUKURU Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuniona na kuniamini na hivyo, kuniteua ili niweze nami kuvaa kiatu anachokiacha Mheshimiwa makinda”. Anasema, Kapteni Mstaafu wa John Chiligati ambaye ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika hafla ya uzinduzi wa Kamati mpya ya Uongozi wa Mpango …
Kikwete Azitaka Halmashauri Kununua Nyumba za NHC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia jiwe la msingi mara baada ya kuzindua mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma wanaoshuhudia ni pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi …
Mjadala Bunge la Katiba Hauninyimi Usingizi – Rais Kikwete
RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba Mpya ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania. Rais Kikwete alisema kuwa Katiba ya Tanzania haitapatikana kwa mikutano ya kisiasa nje ya Bunge Maalum la Katiba bali ndani ya Bunge …
- Page 1 of 2
- 1
- 2