Vyama vya Siasa Vyatakiwa Kutoa Fursa za Uongozi kwa Wanawake

            BAADHI ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali. Ombi hilo limetolewa na viongozi hao katika maoni yao walipokuwa katika semina …