Samsung, UNESCO Kujenga Kijiji cha Digitali Loliondo

Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues  na Mkurugenzi wa  Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika ofisi za UNESCO. Na Mwandishi wetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni  (UNESCO) limetiliana saini mkataba na kampuni ya elektroniki ya Samsung ya ujenzi wa Kijiji cha Digitali cha Ololosokwan, Loliondo. …