Unyama: Mwenyekiti wa Kijiji Auwawa, Viungo Vyake Vyapikwa

NI unyama wa kutisha umetokea katika Kijiji cha Songambele wilayani Mlele mkoani Katavi watu wawili wamemvamia Mwenyekiti wa Kijiji cha Songambele kisha kumuuwa kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na sehemu zake za siri. Watu hao pia walimkata mkono wake mara mbili baada ya kufanya unyama huo kabla ya kuchukua viungo walivyokata kata kisha kuvitia kwenye sufuria, kuweka maji na kubandika …