Ujumbe Wa Leo!

Hapo ni Kinondoni Mkwajuni, dereva wa Bodaboda, alinaswa na Mpiga picha wetu akiwa amelala juu ya pikipiki yake, bila shaka baada ya kuchoka kusubiri abiria huku ujumbe wake ukimrudia mwenyewe “Usije Mjini” Ina maana ana waonya vijana wasije kutafuta rizki mjini kwasababu mambo magumu? Ujumbe! Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Thehabari, Dar- Es- Salaam

Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!

Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park. Kwa mbaliii, anaonekana kijana akiwa ameuchapa usingizi chini ya viti vya bustani. Your browser does not support the video tag Video hii, kijana anaonekana akikojoa nyuma ya benchi la Bustani. Kwa mtaji huu, bustani hii …