Umati wa watu uliojaa mtaani wakishuhudia bint mwenye matatizo ya akili Sinina Maliki akipigwa na bint wa mitaa hiyo ya Katandala eneo la kibirizi Asha Kigwiza , Mkoani kigoma. Wananchi wa Kijiji cha Usindi Wilaya ya Kaliua wakilitazama tela la Gari lenye kichwa chenye namba za usajili T282 ALM la kampuni ya vinywaji aina ya kokakola Kijana Eflahim Maksoni akitembea …
UNDP, Waziri Chikawe Watembelea Kambi ya Muda ya Wakimbizi Kigoma
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mathias Chikawe (wa tatu kushot0) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya huduma za Wakimbizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Harrison Mseke (katikati), Mwakilishi wa Shirika la Umoja …
Mlipuko Magonjwa ya Kuambukiza Kambi za Wakimbizi Kigoma…!
Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia Chakula , katika mazingira hatarishi Mamia ya wakimbizi wakiwa wanatafakari hatima yao Hii ndio hali halisi ya vyoo ambavyo vimechangia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Wafanyakazi wa Shirika la Oxfam wakishusha vifaa kwa ajili ya …
Hiki Ndicho Zitto Kabwe Alichowaambia Wapiga Kura Wake Kigoma…!
HOTUBA YA MH ZITTO KABWE (MBUNGE KIGOMA KASKAZINI) ILIYOTOLEWA LEO TAREHE 15 MACHI 2015 MWANAMAPINDUZI na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara alisema kuwa ili kuleta mabadiliko ya kimapinduzi ni lazima kuwa na hali fulani ya uendawazimu. Ila tusiufikirie uendawazimu huu wa kuokota makopo bali ule ukichaa mzuri wa kuamini katika mambo au misingi fulani na kuisimamia kwa dhati pamoja …
Azama Bwinza: The Audacity to Rescue 7 People…!
SATURDAY 11th October 2014 will remain a dark day for the people of Kigoma in general and Kigoma North constituency in particular, especially the villages of Mtanga, Kigalye and Kalalangabo Kagongo ward. Ten people drowned in Lake Tanganyika following the capsizing of twin canoes (mtumbwi wa kipe) with more than 50 people in it. It was a celebratory day at …