Pinda Acharuka, Ampa Kigogo Uyui Siku 60 Kuhama

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempa miezi miwili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, Khadija Makuani kuhakikisha kuwa watumishi wote wa wilaya hiyo wanahamia Isikizya yalipo makao makuu ya wilaya hiyo. Ametoa agizo hilo Oktoba 11, 2014 wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa Isikizya waliofika kushuhudia uzinduzi wa makao makuu ya polisi ya wilaya hiyo.   “DED …