Prof Mbarawa Awabana TEMESA Kivuko cha Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amewataka Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kufunga mfumo kamili wa elekroniki katika kivuko cha Magogoni ili kudhibiti mapato yanayopotea kiholela. Amesema takriban asilimia 20 ya abiria wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni na Mv Kigamboni wanavuka bila kulipa nauli hali inayoathiri mapato stahiki ya kivuko hicho. “Nawapa miezi mitatu muwe …

Mwanamke Huyu Ametoweka Kigamboni Dar…!

Bi Rehema Salum Msambya pichani juu amepotea tokea tarehe 16/10/2014 maeneo ya Kigamboni – Kisota karibu na Shule ya Sekondari ya Abdu jumbe.  Siku hiyo alikuwa amevaa Dela na Skintight ya Rangi ya Blue. Bi Rehema ana Matatizo ya Akili. Yeyote atakayemuona anaombwa kutoa taarifa katika kituo cha Polisi Kigamboni au kilicho karibu  au Apige simu namba. 0712 22 77 22, 0753 …