Rais Kenyatta Awataka Wana EAC Kutoa Kipaumbele Masuala ya Usalama

Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha RAIS Uhuru Kenyetta wa Kenya, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoa kipaumbele katika mtangamano wao kwenye sekta ya ulinzi na usalama. Akifungua kikao cha 22 cha Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mjini hapa Jumanne, Rais huyo alisema kwamba ugaidi bado ni tishio kubwa kwa jumuiya hiyo.   “Hatua yoyote ya nchi …