RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili Nairobi, Kenya, usiku wa Septemba Mosi, 2014, tayari kwa kuhudhuria Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) ambako Tanzania ni mwanachama. Mkutano huo wa siku moja ambao utajadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika umepangwa kufanyika, Septemba 2, …