Na Mtua Salira EANA Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye makao yake Makuu Mjini Arusha, Tanzania imeanza kusikiliza kesi ya mgogoro wa ardhi kati ya serikali ya Kenya na kabila dogo la wawindaji la Ogiek juu madai yao ya haki ya ardhi. Mahakama hiyo inayoketi kwa muda mjini Addis Ababa, Ethiopia inasikiliza madai ya …