MGOMBEA urais wa muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) Raila Odinga amepinga matokeo ambayo yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo, IEBC. Raila Odinga ametoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo akizungumza na wanahabari. Bw Odinga amesema tume hiyo imekuwa ikitangaza matokeo kwenye tovuti yake bila kufuata utaratibu unaofaa. Aliongeza kuwa kabla ya matokeo yoyote …
Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia shinikizo la Wananchi kudai kwamba kuna idadi kubwa ya mawaziri wake wanatuhumiwa na ufisadi. Kwa mujibu wa taarifa zaidi zinasema katika baraza hilo la mawaziri limeongezwa wizara moja huku akiwapiga chini mawaziri sita wanaokabiliwa na kashfa za ufisadi. Katika mabadiliko hayo Kenyatta kwa sasa atakuwa na jumla ya …
JK Kenya, Atoa Heshima Kwenye Kaburi la Baba wa Taifa la Kenya
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika …
Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!
UFUNDISHAJI masomo anuai katika shule za umma nchini Kenya umekwama licha ya amri ya mahakama ya kuwataka walimu ikilazimisha warejee shuleni Jumatatu. Mgomo wa walimu nchini Kenya umeingia wiki ya tano hivi sasa huku ufundishaji ukiendelea kuathirika. Vyama vya walimu nchini Kenya vimesema havitatekeleza amri ya mahakama iliyowataka kusitisha mgomo huo kwa siku tisini kuanzia leo. Badala yake vyama hivyo …
Makamu Rais Kenya Ampongeza Rais Kikwete Kukuza Tasnia ya Filamu
Makamu wa Rais Wa Kenya, William Rutto akifungua maonyesho ya pili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Utamaduni Festival yajulikanayo kama JAMAFEST kwa kuwakaribisha washiriki kutoka nchi zote za Afrika Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Kenyatta uliopo jijini Nairobi, Nchini Kenya. Makamu wa Rais wa Kenya, Mh William Rutto akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika …
Al Shaabab Wavamia Msikiti Kenya, Auwawa kwa Risasi Burundi
VIONGOZI Kaskazini mwa Kenya wamesema wapiganaji wa kundi la kigaidi kutoka Somalia la Al Shaabab wamevamia msikiti mmoja eneo la Garissa kwa masaa kadhaa. Wapiganaji hao waliwahutubia waumini waliokuwa msikitini kwa karibu saa mbili kabla ya kutokomea msituni. Katika hotuba yao waliikosoa serikali ya Kenya na kuonya waumini dhidi ya kuwa majasusi wa serikali ya Kenya. Mwezi uliopita Al Shaabab …